
HUDUMA BORA KUENDELEA KUTOLEWA POLISI, WCF WATOA MAFUNZO FIDIA AJALINI
Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi limesema litaendelea kutoa huduma bora kwa wateja wa ndani na nje ambao wanalitegemea Jeshi hilo huku likiwataka watendaji wa Jeshi hilo kutambua maboresho makubwa yanayofanywa na Mkuu wa Jeshi Polisi nchini na kuleta matokeo Chanya kwa wananchi katika kuwapata huduma bora. Kauli hiyo imetolewa na…