
Trump Apingwa Suala La Kuwahamisha Wapalestina – Global Publishers
Makao makuu ya Al-Azhar jijini Cairo, Misri. Taasisi ya Al-Azhar ya Misri, imelaani mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kuwatimua Wapalestina katika eneo la Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa, Ukanda wa Gaza ni ardhi ya Wapalestina na Waarabu na itabaki hivyo daima. Taarifa iliyotolewa na Al Azhar imeutaja mpango wa Rais mpya…