Mambo Manne Usiyoyajua Kuhusu mchekeshaji Leonardo

Ni wazi kuwa kwa sasa Leonardo almaarufu kama Laughs On Leonardo ni moja kati ya wachekeshaji mahiri sana kutoka nchini Tanzania Ucheshi wake pindi akiwa anatumbuiza kwenye jukwaa la Cheka Tu pamoja na video clips zake za mtandaoni zimepelekea kukuza jina lake ambapo kufikia sasa ameshakusanya zaidi ya followers Laki Tano kwenye ukurasa wake wa…

Read More

Nape awaomba wadau wa habari wamuamini

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba wadau wa sekta ya habari kuwa na imani naye kuhusu vifungu 12 vinavyolalamikiwa katika Sheria ya Huduma ya Habari ya mwaka 2016. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kauli hiyo ya Waziri Nape ilitokana na maazimio sita ambayo yalisomwa na Msemaji Mkuu wa Serikali na…

Read More

Maandamano kupinga kodi mpya Kenya yashika kasi

Dar es Salaam. Maelfu ya waandamanaji wa Kikundi cha Gen-Z, wengi wao wakiwa vijana wameingia barabarani nchini Kenya kupinga ongezeko la kodi huku wakipuliza filimbi na kuimba nyimbo zinazoonyesha hasira wa dhidi ya Serikali. Leo Alhamisi Juni 20 2024, wakati maandamano hayo yakiendelea nchini humo, Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Bernard Kibesse ameiambia Mwananchi…

Read More

Zenji ni JKU au Zimamoto ligi ikifikia tamati

LIGI Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2023-2024 inafikia tamati jioni ya leo wakati zitakapopigwa mechi saba za kukamilisha raundi ya 30, ambapo bingwa mpya wa ligi hiyo anatarajiwa kufahamika rasmi, huku JKU ikijiweka pazuri mbele ya Zimamoto zikiwa timu pekee zenye nafasi ya kubeba taji. Awali, ligi hiyo ilitarajiwa kumalizika Juni 17, lakini kutokana na…

Read More

Maelfu waandamana Kenya kupinga ongezeko la kodi