
MAJAJI, WASAJILI WANOLEWA, MASHAURI YA HAKI MILIKI, UBUNIFU KWENDA VIZURI
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kongamano Mahakama linalohusisha Majaji wa Tanzania, Majaji kutoka Mahakama ya Uingereza na Kenya, Naibu Wasajili na Mahakimu wa Mahakama ya Tanzania. Kongamano linalofanyika jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 26, 2024. Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,…