
Wafugaji Idodi walalamikia moto maeneo ya malisho moto wasababishwa na wafugaji wenyewe
Wafugaji katika tarafa ya Idodi Mkoani Iringa wametakiwa kukubaliana na wakulima mara baada ya mavuno ili kupata malisho kwa wajili ya mifugo yao. Kwa mujibu wa Afisa Tarafa wa Idodi Mapsa Makala alisema kutokana na changamoto ya moto katika maeno mbalimbali ya tarafa ya idodi yanatokana na wafugaji wenyewe kwani wamekuwa wakiwalazimisha wakulima kuvuna mapema…