
Kwanini muhimu mzazi kushiriki vikao vya Shule
Dar/mikoani. Kipi kinakuja kichwani unapopokea barua au wito wa wazazi kushiriki kikao katika shule anayosoma mwanao? Majibu ya swali hilo, yanaakisi mitazamo ya wazazi wengi ambao kwao wanachukulia wito wa vikao hivyo kama mbinu za walimu kutengeneza mtaji wa kuvuna fedha kutoka kwa wazazi. Kwa mujibu wa baadhi ya walimu wanaeleza mitazamo hasi ndiyo inayosababisha…