
Uhispania yaipiku Italia kusonga mbele kombe la EURO – DW – 21.06.2024
Uhispania imefuzu kwa duru ya mtoano ya timu 16 bora katika michuano ya kombe la EURO 2024 kwa kuichapa Italia 1-0 katika mechi ngumu ya kundi B. Ushindi huo wa bao la pekee la Riccardo Calafiori dakika 10 baada ya kupindi cha pili kuanza una maana Uhispania inajiunga na wenyeji Ujerumani katika duru ya mtoano…