
Dk Timbuka aonya matumizi jani la ‘sale’ kuombana msamaha matukio ya ukatili
Moshi. Wakati mamia ya wananchi wa kabila la Wachaga wakiendelea kukukutana kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka katika kijiji cha Umbwe Sinde, Kata ya Kibosho Magharibi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Mkuu wa Wilaya ya Siha, Dk Christopher Timbuka amewataka wananchi kuachana na tabia ya kuficha maovu na kutumia jani la ‘sale’ kama kisingizio cha…