
WANANCHI WA BARIADI WAVUTIWW NA ELIMU YA FEDHA
Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, akiwa miongoni mwa timu ya watoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, miongoni mwa elimu aliyotoa ni pamoja na kuwaelimisha wananchi njia mbalimbali watakazotumia…