
Chaumma yapokea wanachama wapya 250
Dar es Salaam. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimepokea wanachama wapya 250 kutoka Jimbo la Kinondoni leo Jumapili, Julai 27, 2025 wakati chama hicho kilipofanya mkutano mkuu wa jimbo hilo. Sera za chama, kushiriki uchaguzi, mabadiliko ni miongoni mwa sababu zilizofanya chama hicho kupokea wanachama wapya jimboni hapo kama alivyosema Katibu wa Jimbo la…