
SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI WANAOTOA MIKOPO KAUSHA DAMU
Na Farida Ramadhani na Chedaiwe Msuya, WF – Dar es Salaam. Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua kali kwa taasisi zote zininazotoa huduma za fedha kinyume cha sheria kwa kutoa mikopo umiza (kausha damu) na kuwakandamiza wananchi. Onyo hilo limetolewa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), wakati…