
CAG kutimua mbio kuikarabati Shycom
WAHITIMU waliosoma Chuo cha Ualimu Shinyanga (SHYCOM) akiwemo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Charles Kichere wanatarajiwa kukimbia katika mbio za hisani maalumu kwa ajili ya kuchangia ukarabati wa miundombinu ya chuo hicho. Mbio hizo zinazojulikana kama Shycom Alumni Marathon zitafanyika Septemba 21, mkoani Shinyanga na CAG akaweka bayana kwamba atakimbia mbio za Kilomita…