
Mahakama yatengua adhabu ya kunyongwa kwa aliyedaiwa kumuua mama mkwe
Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa aliyopewa Musa Kanyerere, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mama mkwe wake, Helena Hilomeji. Mahakama hiyo imerudisha jalada la kesi kwenye Mahakama ya Wilaya ya Magu kwa Hakimu mwingine, kwa ajili ya kuhamisha shauri kwenda Mahakama Kuu, baada…