BALOZI KASIKE AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA ATCL

Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Phaustine Kasike leo amemtembelea Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Mha. Ladislaus Matindi na kufanya mazungumzo kuhusu fursa za usafiri wa anga kati ya Tanzania na Msumbiji. Viongozi hao wamekubaliana kuangalia uwezekano wa ATCL kutumia fursa hizo ili kutanua wigo wa biashara. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao…

Read More

Makipa janga timu ya taifa

Simba, Yanga na Azam, ni timu ambazo zimekuwa zikitawala soka la Tanzania kwa muda mrefu. Kuanzia mwaka 2008 ambapo Azam FC ilianza kushiriki Ligi Kuu Bara, timu hizi tatu pekee ndizo zimefanikiwa kubeba ubingwa wa ligi hiyo. Katika kipindi hicho cha misimu 16, Azam imebeba mara moja 2013-2014, huku misimu 15 wakigawana Simba na Yanga….

Read More

Tanzania yatangaza wa mkakati kuwalinda watu wenye ualbino – DW – 20.06.2024

Tamko hilo limetolewa kufuatia mauaji ya hivi karibuni ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novart ambaye mwili wake uliokotwa mkoani Kagera huku baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Hayo yanajiri wakati ambapo jeshi la polisi nchini humo likitangaza kuwa limewakamata watu tisa wanaotuhumiwa kwa mauji ya mtoto huyo.  Akizungumza bungeni mjini Dodoma, Waziri Mkuu wa Tanzania,…

Read More

MA-RC, MA-DC ANZISHENI OPERESHENI MAALUM ZA ULINZI – MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi kwa watu wenye ualbino. “Operesheni hizi zihusishe vikosi vya usalama ili kuhakikisha ulinzi wa watu wenye ualbino dhidi ya mashambulizi na vitisho hii ni kwa sababu katika kuzuia unyanyasaji na mauaji ya watu wenye ualbino,…

Read More

Rais Guinea Bissau, Samia kuteta namna ya kudhibiti malaria

Rais wa Jamhuri ya Guinea Bissau na Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika katika Kudhibiti Malaria (ALMA), Umaro Sissoco Embaló anatarajiwa kufanya ziara nchini kwa lengo kujadili kwa kina namna ya kuendelea kupambana na kudhibiti ugonjwa hatari wa Malaria. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Mwenyekiti huyo wa ALMA taasisi ambayo ilianzishwa mwaka…

Read More

Vicky aipania Zambia baada ya kung’ara Moro

BAADA ya ushindi mnono  katika mashindano ya gofu ya Alliance One, nyota wa timu ya taifa ya gofu ya wanawake,  Vicky Elias ameanza mchakato wa kushinda mashindano ya wazi ya wanawake ya Zambia yanayoyatarajiwa kufanyika mjini Lusaka mwishoni mwa mwezi huu. Vicky, ambaye alishinda kitengo cha wanawake wa daraja la juu kwa kupiga mikwaju 161…

Read More