
Tanzania yatoa maagizo kukabili mauaji ya albino
Dodoma. Wakati matukio ya ukatili dhidi ya watu wenye ualibino yakianza kuibuka nchini, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametaja mikakati na maagizo kwa vyombo vya usalama, viongozi wa Serikali, dini, waganga wa kienyeji, wazazi, walezi na wananchi kwa ujumla, ili kukomesha vitendo hivyo. Hatua hiyo imekuja kutokana na mauaji ya mtoto, Asimwe Novath (2) mwenye ualbino,…