Kikokotoo na mafao vyatikisa Bunge, Spika ataka kibano kwa mifuko

SAKATA la kanuni mpya za ukokotoaji mafao ya wastaafu (kikokotoo) kupunja pensheni za watumishi, pamoja na ucheleweshaji wa malipo yake, limeendelea kutikisa Bunge, baada ya wabunge kuhoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kuzifanyia marekebisho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Suala hilo limeibuka tena bungeni jijini Dodoma, leo tarehe 10 Mei 2024, licha ya Serikali kupitia…

Read More

Wananchi zaidi ya Milioni 8 kupata umeme wa uhakika ifikapo 2030.

  Na Jane Edward, Arusha  Naibu Mkurugenzi Mtendaji uzalishaji umeme kutoka Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Mhandisi,Costa Rubagumiya amesema Tanzania inampango wa kuwapatia wananchi milioni 8. 3 umeme kufikia mwaka 2030. Costa ameyasema hayo leo wakati wa Mkutano wa nishati wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki (EAECS) uliofanyika jijini Arusha. Amesema kuwa  mkutano huo unalengo…

Read More

Wananchi wa Dumila, Kilosa wambebesha ‘zigo’ Makalla

Morogoro. Wananchi wa Dumila, Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wamesema upatikanaji wa maji safi na stakabadhi ghalani, barabara za ndani ni miongoni mwa kero zinazowasumbua, hivyo wamemuomba Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla kuingilia kati. Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewajibu kuwa tatizo la…

Read More

Majaliwa ataja sababu kutoanzishwa maeneo mapya ya utawala

Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watakapojiridhisha na utoaji huduma, miundombinu na rasilimali watu kwenye maeneo mapya ya utawala ndipo Serikali itatoa vibali vya uanzishwaji wa maeneo mapya, pamoja na kufafanua fursa ya mikopo ya asilimia 10 kwa wanaume. Mwaka 2016 wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Waziri Mkuu, alitoa tamko la…

Read More