
TANZANIA KINARA AFRIKA MASHARIKI UKOMAVU WA TEHAMA
Na. Vero Ignatus, Arusha. Mkutano wa tano wa serikali mtandao umefanyika Leo Jijini Arusha ambapo umewakutanisha Takriban wadau 1000 ambapo utafanyika kwa siku tatu, kuanzia kwa Leo 11februari-13 februari 2025 ukiwa na lengo la kujadiliana kuhusu hali ya utekelezaji wa Serikali Mtandao nchini Akifungua kikao kazi hicho Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango katika Kituo…