
Mbowe amtaja Ndesamburo uimara wa Chadema Kilimanjaro
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wanachama wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro kumuenzi mwanasiasa mkongwe mkoani humo, Philemon Ndesamburo kwa kuyaenzi mema aliyoyafanya ndani ya chama hicho. Amesema Ndesamburo alifanya kazi kubwa ya kimageuzi mkoani humo na maeneo mengine “na kwa heshima ya Mzee Ndesamburo lazima chama hiki…