
MKATABA WA BILIONI 7 WASAINIWA NELSON MANDELA KUBORESHA MAABARA
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof Maulilio Kipanyula ( kushoto) akiweka saini ya Makubaliano Mkataba wa vifaa vya maabara vyenye Thamani ya Bilioni 4.3 na Mzabuni Bw. Thomas Elisa Mwasikili (kulia) kutoka Kampuni ya Evolve ya Jijini Dar es Salaam Juni 19, 2024. Makamu Mkuu wa…