
TRA YAZINDUA BOTI YA DORIA ZIWA VICTORIA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Boti ya doria ambayo itatumika kupambana na magendo katika Ziwa Victoria na kukomesha vitendo vya ukwepaji kodi ambavyo vimekuwa vikifanywa na watu wasioitakia mema Taifa la Tanzania. Uzinduzi wa Boti hiyo ya Doria umefanywa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe Hamad Chande mkoani Mwanza na kueleza kuwa ujio wa…