DKT NCHEMBA AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI NA WAWEKEZAJI KUTOKA SEKTA BINAFSI KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHERIA YA PPP

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka Mamlaka za serikali pamoja na wawekezeji kutoka sekta binafsi kutumia fursa zilizopo katika sheria ya PPP kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo ili kuipunguzia serikali mzigo wa kibajeti. Ametoa kauli hiyo leo Agosti 31 ,2024 jijini Dodoma katika Mkutano wa mafunzo ya…

Read More

SIO ZENGWE: Magoma amechelewa kuamka, lakini amefikirisha

MIAKA ya mwanzoni wa 1990 hadi mwisho haikuwa ajabu kusikia klabu ina kesi hata zaidi ya tano kwenye mahakama tofauti na hukumu zake kuibuka kwa nyakati tofauti na wakati mwingine kuvuruga kabisa mipango ya klabu. Ukiacha mgogoro uliosababisha Yanga igawanyike na kikosi kizima cha kwanza kuondoka, ule wa miaka ya 1990 mwanzoni ulikuwa mkubwa zaidi…

Read More

Aweso awataka Dawasa wasizoee matatizo ya wananchi

Dar es Salaam. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) kutokubali kuzoea matatizo ya wananchi bali wayashughulikie kwa kasi kubwa. Ameyasema hayo leo Jumanne, Februari 18, 2025 katika kikao kazi kati ya Dawasa na wenyeviti wa serikali za mitaa wilaya ya Kinondoni akisema…

Read More

Tanzania kujizatiti kibiashara soko huru la Afrika

Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amesema Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kwenye biashara nje ya nchi kupitia soko huru barani Afrika.  Ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru…

Read More

Maonesho ya wiki ya chakula yahitimishwa Kagera,Naibu waziri afika banda la tume ya taifa ya umwagiliaji

Naibu waziri wa Kilimo Mh Devid Silinde amehitimisha maonyesho ya Wiki ya chakula duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera. Awali ametembelea mabanda ya washiriki wa maonyesho hayo likiwemo banda la tume ya taifa ya umwagiliaji ambao wameshiriki tangu siku ya kwanza mpaka leo kilele chake. Aidha Mh Silinde amesema kuwa serikali wana mpango wa kujenga…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Asante Simon Msuva, Taifa halikudai

TUMEKUBALIANA kwa pamoja taifa la Tanzania halimdai chochote kwa sasa mshambuliaji wetu nyota, Saimon Msuva kutokana na kile anachokifanya kwenye timu ya taifa ‘Taifa Stars’. Jamaa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita amekuwa mchezaji muhimu na mwenye mchango mkubwa kwa Stars na kiukweli ambaye hakubali kile anachokifanya basi atakuwa na chuki binafsi. Embu tuangalie baadhi…

Read More