Dk. Mpango ahani msiba wa RAS Kilimanjaro

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro marehemu Tixon Nzunda kwa kuwa waadilifu, wazalendo na kumtanguliza Mungu katika majukumu yao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Makamu wa Rais amesema hayo leo Jumatano wakati akizungumza na waombolezaji alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa…

Read More

Kamati ya Uongozi IPU kujadili idadi ya nchi washiriki

Unguja. Kamati ya Uongozi ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) imekutana Zanzibar kujadili namna ya kuongeza idadi ya washiriki katika mkutano wa umoja huo upande wa Afrika. Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza kikao cha kamati hiyo Juni 19, 2024 Kizimkazi Zanzibar, Rais wa IPU, Dk Tulia Ackson amesema moja ya mambo inayosumbua…

Read More

Baba mzazi, mganga, paroko wadakwa mauaji ya mtoto mwenye ualbino

HATIMAYE Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa tisa wakiwa na viungo vinavyodhaniwa ni vya mtoto Asimwe Novart mwenye ualbino, wakiwa wamevihifadhi katika vifungashio vya plastiki wakitafuta mteja. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Watuhumiwa waliokamatwa ambao walieleza jinsi walivyoshiriki katika tukio hilo ni pamoja Baba mzazi wa mtoto huyo aitwaye Novart Venant, Desideli Evarist ambaye ni mganga wa…

Read More

Vyanzo vya mapato bajeti ya SMZ vyakosolewa

Unguja. Mwakilishi wa Mtambwe, Dk Mohamed Ali Suleiman amesema bajeti ya Serikali imekosa vyanzo vipya vya mapato, badala yake imeongeza kodi, hivyo kuitaka kuangalia upya jambo hilo. Amesema hayo alipochangia mpango wa maendeleo na bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 katika mkutano wa 15 wa Baraza la Wawakilishi, Chukwani Zanzibar Juni 19, 2024….

Read More

MAKAMU WA RAIS AITEMBELEA NA KUIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU TIXON NZUNDA KILIMANJARO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema watumishi wa Umma wanapaswa kumuenzi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro marehemu Tixon Nzunda kwa kuwa waadilifu, wazalendo na kumtanguliza Mungu katika majukumu yao. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizungumza na waombolezaji alipowasili nyumbani kwa aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa…

Read More

Huu hapa umuhimu qwa kufanya mazoezi

JUMANNE jioni kulikuwa na mjadala wakuvutia kwenye jukwaa la Jamii forum kuhusu umuhimu wa mazoezi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Chini ya mwamvuli wa Wizara ya Afya, mtu ni Afya, mambo lukuki yalizungumzwa na wataalam wa afya. Mwanaspoti Dokta inaungana na wataalamu hao kwa kutoa ufahamu wa umuhimu wa mazoezi. Mazoezi ni njia rahisi na…

Read More

Donesia Minja: Mkongwe anayekimbiza WPL

UKITAJA wakongwe 10 wanaokiwasha katika Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) basi huwezi kuacha kutaja jina la kiungo mkabaji Donisia Minja ambaye amekuwa bora tangu ligi hiyo ianzishwe mwaka 2017. Kiungo huyo tangu ajiunge na JKT Queens msimu wa 2017/18 amekuwa chaguo la kwanza la makocha wanaofundisha timu hiyo na kuweka ufalme kwenye eneo hilo. Mwanaspoti…

Read More