Washindi wa NMB wamwagiwa zawadi

WASHINDI wa Kampeni ya Weka, Tumia na Ushinde Kutoka Benki ya NMB, leo Jumatano wamekabidhiwa zawadi huku umati mkubwa wa wakazi wa Dodoma ukishuhudia tukio hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Kutolewa kwa zawadi hizo ni hitimisho la Kampeni hiyo ya miezi mitatu iliyofikia mwisho wake Mei mwaka huu ambapo zawadi mbalimbali zenye thamani ya zaidi ya…

Read More

JKU yashikilia ubingwa wa Zanzibar mkono mmoja

USHINDI wa bao 1-0 iliyopata JKU mbele la waliokuwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM imewafanya vinara hao wa ligi hiyo kulishikilia taji kwa mkono mmoja na hii ni baada ya Zimamoto kulazimishwa sare ya 1-1 na Mlandege mechi zilizopigwa jana mjini Unguja. JKU iliyotemeshwa taji la michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) kutokana…

Read More

BAKWATA YAZINDUA MRADI WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JAMII MWANZA

NA BALTAZAR MASHAKA,ILEMELA. BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA),limezindua Mradi wa Kuchochea Maendeleo ya Jamii,mkoani humu unaolenga kukusanya sh. bilioni 2.2 kwa mwaka,uliofanyika sambamba na Baraza la Eid Al Adh’aa leo. Akizindua mradi huo Sheikh wa Mkoa wa Mwanza,Alhaji Hasani Kabeke amesema utakakuwa shirikishi unalenga kubadilisha fikra za waislamu na wasio waislamu ili kuleta maendeleo….

Read More

Wilder, Fury waporomoka WBC | Mwanaspoti

BONDIA wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja. Wilder ambaye anasubiriwa kutoa kauli juu ya hatma yake kwenye mchezo huo baada ya kuchapwa kwa Knockout ‘KO’ mara mbili mfululizo na mambondia Joseph Parker na Zhilei Zhang, ametupwa…

Read More

Utouh: Changamoto katika ununuzi wa umma tatizo sugu

Dar es Salaam. Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amesema bado kuna changamoto katika ununuzi wa umma zinazotakiwa kupatiwa ufumbuzi wa kudumu ili kuleta maendeleo endelevu. Kutokana na changamoto hizo, Utouh ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Uwajibikaji wa Umma (Wajibu), amesema wameandaa mkutano wa siku mbili utakaofanyika Agosti 6 na…

Read More