
Doa la CAG utoaji elimu bila malipo
Dar es Salaam. Ripoti ya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imebainisha kuwa jumla ya Sh1.25 bilioni za kugharimia elimu bila malipo, hazikufika kwa mamlaka husika. Katika ripoti hiyo iliyokabidhiwa kwa Bunge wiki iliyopita, jumla ya mamlaka 15 za serikali za mitaa hazikufikishiwa fedha kamili, hatua ambayo ripoti imetaja kuwa ina…