
Rais Samia atuma salamu za rambirambi kifo cha RAS Kilimanjaro, dereva wake
Moshi. Rais, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu kufuatia kifo cha aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo, Dk Tixon Nzunda (56) aliyefariki dunia pamoja na dereva wake, Alphonce Edson (54) jana, Juni 18, 2024 kwa ajali ya gari. Ajali hiyo, ilitokea jana, Juni 18 saa 8:30…