NIA OVU YA KUMCHONGANISHA KIDATA NA MAMLAKA YA UTEUZI

Inatajwa kuwa tuhuma zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Alphayo Kidata ni za kughushi, na zinazolenga kumchonganisha kiongozi huyo na mamlaka ya uteuzi ili aondolewe kwenye nafasi hiyo, na kutoa mianya kwa ‘genge’ la wakwepa kodi, wala rushwa na wote wasiolitakia mema Taifa ‘kuchomeka’ mtu wao Tumekuwa…

Read More

Filamu nzima ya Ateba kutua Simba

SIMBA imeshamshusha straika mpya Lionel Ateba baada ya kufikia makubaliano na USM Alger ya Algeria kwa ajili ya uhamisho wa raia huyo wa Cameroon ili kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Wekundu iliyopo chini ya kocha Fadlu Davids aliyehitaji kuboreshewa zaidi eneo hilo. Hata hivyo, wakati Simba inafanikisha uhamisho wa mshambuliaji huyo anayetazamiwa kuongeza nguvu eneo…

Read More

Azam Complex na nuksi ya kadi nyekundu Ligi Kuu

Dar es Salaam. Mzimu wa kadi nyekundu unaonekana kutawala katika Uwanja wa Azam Complex kulinganisha na viwanja vingine vinavyotumika kwa Ligi Kuu msimu huu. Idadi kubwa ya kadi nyekundu hadi sasa zimeonyeshwa katika Uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC huku viwanja vingi vikiwa havijashuhudia kadi nyekundu hadi sasa. Katika raundi 11 za Ligi Kuu msimu…

Read More

Simba yashtuka, kuja kivingine | Mwanaspoti

KATIKA kuhakikisha Simba SC inarudi kwa kishindo, klabu hiyo imesema imejipanga kufanya usajili kwa umakini mkubwa ili kutorudia makosa ya nyuma na uongopzi wa Msimbazi umetangaza kuja na sera ya usajili. Kwa misimu mitatu mfululizo Simba imeshindwa kuwa na maajabu katika Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho, huku ikikwamia hatua ya robo fainali ya…

Read More

Exim yawainua kiuchumi wanawake wajasiriamali kupitia mpango wa WEP

  BENKI ya Exim kupitia Mpango wake wa Kuwawezesha Kiuchumi Wanawake (WEP), imetoa mafunzo kuhusu masuala ya ujasiriamali, biashara, na uwezeshaji kwa wanawake wajasiriamali kama sehemu ya kuunga mkono ujumuishwaji wa watu wote, wakiwemo  wanawake, katika mipango mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kupitia mpango wake wa ‘Exim…

Read More

Agizo la Rais Samia latekelezwa, treni mwendokasi yaanza majaribio Dar – Dodoma

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya treni ya mwendokasi inayotumia umeme kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuelekea hatua ya kuanza rasmi ifikapo mwishoni mwa Julai. Wakati akihutubia Taifa Desemba 31,2023 Rais Samia aliliekeleza TRC kuhakikisha linaanza rasmi safari za…

Read More