
Mbowe kuongoza operesheni GF ya siku 21 Kanda ya Kaskazini
Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongoza operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama kuanzia ngazi ya chini maarufu “Grassroot Fortification (GF) itakayoanza Juni 22, 2024. Operesheni hiyo inatarajiwa kufanyika katika majimbo 35 yaliyopo mikoa ya Kanda ya Kaskazini ambayo ni Arusha, Manyara, Tanga na Kilimanjaro. Akizungumza na…