WAZIRI MAVUNDE ATAKA WATANZANIA KUPEWA KIPAUMBELE KUSAMBAZA BIDHAA NA HUDUMA MIGODINI

▪️Aelekeza mabadiliko ya Kanuni ili kuruhusu uhaulishwaji teknolojia kwa Kampuni za Kigeni ▪️Ataka Watanzania kuchangamkia Trilioni 5.3 za usambazaji bidhaa na utoaji huduma ▪️Rais Samia apongezwa kwa uongozi wa maono ▪️Watanzania 19,371 wanufaika na ajira rasmi ▪️Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara kwa ukuaji wa sekta Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Tume ya Madini…

Read More

Sababu panda shuka idadi ya wanafunzi sekondari binafsi

Dar es Salaam. Mchujo, idadi ya wanafunzi wanaohitajika katika shule husika na wazazi kukosa fedha za kugharamia mahitaji na ada zimetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazochochea kupanda na kushuka kwa idadi ya wanafunzi sekondari binafsi. Pia ongezeko la shule za Serikali nayo imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazofanya shule hizo kukosa wanafunzi. Sababu hizi zimetolewa…

Read More

UMOJA WA ULAYA WAIPA KONGOLE REA

-Kwa kuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kuhamasisha wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili ifikapo mwaka 2034, asilimia 80 ya wananchi wawe wanatumia nishati safi ya kupikia kama inavyoelekezwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yameelezwa Mei…

Read More