
Rais Samia kwenda Afrika Kusini kushiriki uapisho wa Ramaphosa
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini jioni ya leo Jumanne Juni 18, 2024 kwenda Afrika Kusini kwa ziara ya kikazi ya siku moja kwa ajili ya kushiriki hafla ya uapisho wa Rais Mteule, Cyril Ramaphosa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Ofisi ya Rais Ikulu, Rais Samia atashiriki…