
ANTI BETTIE: Usitafute maisha ukasahau kuishi, acha kulalamika
Nilifunga ndoa na mwenza wangu miaka sita iliyopita. Wakati huo ndiyo kwanza alikuwa ameanza kazi, kwa juhudi zake na elimu aliyonayo amepanda vyeo na sasa ni mtu mkubwa tu anapofanyia kazi. Changamoto yake ana matumizi mabaya ya fedha hasa unapofika mwisho wa mwaka. Licha ya kuwa na imani ya dini, mapenzi, kutunza familia vema hili…