
Tanzania yazindua ujenzi majengo pacha Nairobi
Nairobi. Serikali imezindua ujenzi wa majengo pacha ya ghorofa 22 kila moja jijini Nairobi, Kenya, yatakayotumika kama Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini humo na kitega uchumi kwa ajili ya kuongeza fedha za kigeni. Kwa sasa, Tanzania inatumia Sh29 bilioni kwa mwaka kulipia kodi kwa ajili ya balozi na makazi ya watumishi wake wanaofanya kazi…