
Mbunge alia akielezea mauaji ya albino
Dodoma. Siku moja baada ya mwili wa mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2), kupatikana ukiwa umenyofolewa baadhi ya viungo, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Khadija Taya maarufu Keysha amelia bungeni wakati akiomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka lijadili usalama wa albino wakati huu wa kuelekea uchaguzi. Hojan ya Keysha imetokana na kile alichodai kuwa…