
Hamas yawaachia huru wanajeshi wanne wa Israel, Wapalestina 200 pia kuachiwa
Gaza. Israel imethibitisha kuwapokea wanajeshi wake wanne waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la Hamas eneo la Gaza kwa zaidi ya mwaka mmoja. Katika makubaliano hayo, raia 200 wa Palestina waliofungwa kwenye magereza mbalimbali nchini Israel pia wameachiwa huru kutoka katika magereza hayo. Wafungwa hao wameachiwa kufuatia makubaliano ya kusitishwa mapigano hayo kutamka kuwa Israel itawaachia…