
DC Mayanja: Wananchi wapewe elimu ya bima kuepuka majanga
Dodoma. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini (Tira) kwa kushirikiana na wadau wa bima imeshauriwa kutoa elimu ya bima kwa wananchi hasa yanapotokea majanga kwa wateja wao, ili wananchi wengi wajue umuhimu wa kukatia bima shughuli zao za kiuchumi. Ushauri huo umetolewa leo Ijumaa, Septemba 13, 2024 na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Janeth Mayanja…