
Balozi Ruhinda azikwa, Jaji Warioba akisema ‘hakuwa chawa’
Dar es Salaam. Safari ya maisha ya hapa duniani ya Balozi Ferninard Ruhinda (86) imehitimishwa kwa mwili wake kuzikwa katika makaburi ya Kondo, yaliyopo Ununio, Dar es Salaam huku viongozi mbalimbali wa Serikali na wastaafu wakimwelezea utendaji wake hakujikweza, kutaka vyeo wala kuwa chawa. Balozi Ruhinda, aliyefariki dunia Juni 14, 2024 akiwa nyumbani kwake Masaki,…