
Sungusungu saba walioshtakiwa kwa mauaji waachiwa
Arusha. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dodoma imewaachia huru washtakiwa saba ambao ni sungusungu, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji ya mwanakijiji aliyedaiwa kuwa mchawi. Katika kesi hiyo ya mauaji namba 78 ya mwaka 2023, washtakiwa walikuwa ni Maria Chigwile, Magreth Steven, Agusta Reuben, Janeth Hoya, Mariam Zacharia, Tatu Mkomochi na Pendo Lucas. Mbele ya…