MATHIAS CANAL AUNGA MKONO JUHUDI ZA MBUNGE BASHUNGWA//ACHANGIA MIL 1 KWA AJILI YA MADAWATI S/M KIGASHA

Na Mwandishi Wetu,  Karagwe. Kufuatia juhudi zinazofanywa na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Mhe Innocent Bashungwa katika kuimarisha sekta ya elimu ikiwemo ujenzi wa shule mpya ya msingi ya Kigasha, Mwandishi wa habari Ndg Mathias Canal amechangia Shilingi Milioni 1 kwa ajili ya madawati. Mathias amechangia madawati hayo mara baada ya kutembelea shule hiyo iliyopo…

Read More

Familia za Wapalestina kuangamizwa Gaza – DW – 17.06.2024

Uchunguzi huo umebaini kwamba maangamizi hayo yamefikia kiwango ambacho hakijawahi kuonekana.  Uchunguzi huo wa shirika la habari la AP umeelezea kwamba mashambulizi ya anga na ya ardhini yanayofanywa na jeshi la Israeli katika operesheni yake kwenye Ukanda wa Gaza yanasababisha maafa kwa sababu wakati mwingine familia nzima inaangamia hadi kufikia vizazi vinne pale familia hizo…

Read More

Shida ya maji inavyowanufaisha wengi

Dar es Salaam. Wananchi ambao hawajaunganishwa na mtandao wa maji mkoani Dar es Salaam wanapitia maumivu wakilazimika kupata huduma hiyo kwa gharama kubwa. Wakati uniti moja ya maji (lita 1,000, sawa na ndoo 50 za lita 20) ikiuzwa Sh1, 663 na mamlaka husika, wafanyabiashara wa maji wanayauza kwa Sh15, 000 wanapoyafikisha kwa mteja. Bei ya…

Read More

Simulizi, historia, utukufu na hatari za Mlima Everest

Mlima Everest unaojulikana pia kama Sagarmatha nchini Nepal na Chomolungma nchini Tibet. Ni mlima mrefu zaidi duniani, ukiwa na urefu wa mita 8,848 kutoka ya usawa wa bahari. Mlima huu unavutia watalii kutoka kila pembe ya dunia, na ni alama ya changamoto, ujasiri na maajabu ya asili. Jina “Sagarmatha” linatokana na lugha ya Kinepali. “Sagar”…

Read More

Mbunge, wananchi waanza mchakato ujenzi wa shule

Iringa. Baada ya kilio cha muda mrefu cha kukosekana kwa shule ya sekondari katika vijiji vya Itonya, Uluti na Mhanga vilivyopo Kata ya Kimala mkoani Iringa, Serikali imetenga Sh 600 milioni katika bajeti ya 2024/25 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo. Mbunge wa Kilolo (CCM), Justin Nyamoga ameongoza wananchi kusafisha eneo la eka 15…

Read More