
RC atishia kufunga biashara kisa uchafu
Pemba. Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Rashid Hadid Rashid amesema Serikali ya Mkoa huo itachukua hatua za kisheria dhidi ya wafanyabiashara watakaoshindwa kudumisha usafi katika maeneo yao ya kazi, ikiwemo kufungia biashara zao. Kauli hiyo ameitoa leo Ijumaa Aprili 18, 2025, wakati wa operesheni maalum ya usafi wa mazingira iliyofanyika katika maeneo mbalimbali ya…