
BALOZI MULAMULA ASHIRIKI MKUTANO WA UNGA, NEW YORK MAREKANI
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Africa kuhusu Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama, Balozi Liberata Mulamula ameshiriki kwa mara ya kwanza kikao maalum cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) kama mjumbe Mwakilishi wa Umoja wa Afrika. Mkutano huo maalum unaofanyika New York nchini Marekani, una lengo la kutathimini Mkutano wa Wanawake wa…