
MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO
::::::: Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa uzalishaji wa mazao ya kahawa, pamba na korosho. Hayo yamebainishwa wakati wa kikao kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…