
Zuberi Cup yaiteka Moshi | Mwanaspoti
MASHINDANO ya soka ya Kombe la Zuberi Cup yameanza kuchanganya mjini hapa na kuwa gumzo katika vijiweni na mitaani mbalimbali. Sio watoto,vijana wala wazee wa mitaa ya mji wa Moshi na viunga vyake ikiwemo Bomambuzi,Kaloleni,karanga, kiboriloni,Longuo,Majengo,Njoro,Pasua mpaka Soweto kote huko gumzo ni moja tu,uhondo wa Zuberi Cup msimu wa 2024. Mashindano hayo yanayoendelea mjini hapa…