
Akandwanaho anatua Tabora United | Mwanaspoti
UNAMKUMBUKA Joseph Akandwanaho aliyekodishwa na Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 na kuitibulia Simba kwa kufunga bao pekee lililowakosesha Wekundu taji la tano la michuano hiyo? Sasa jamaa anajiandaa kutua Tabora United iliyomkosa katika dirisha kubwa la usajili. Kiungo mshambuliaji huyo aliyeichezea Mlandege katika fainali hizo za mwaka jana na kuiwezesha timu hiyo…