
Kliniki inayotembea inavyowasaidia wenye VVU Uvinza
Uvinza. Upatikanaji wa huduma za kinga, tiba na matunzo kwa watu wanaoishi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) katika kitongoji cha Tandala, kata ya Uvinza, wilayani Uvinza na maeneo irani, kumetajwa kusaidia kupunguza gharama na muda waliokuwa wakitumia kufuata huduma hiyo awali. Wakizungumza leo Jumatatu Juni 17, 2024 baadhi ya wapokea huduma hiyo wakati wa kliniki…