WAZIRI MKUU KWENYE SWALA YA EID NA BARAZA LA EID

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiswali swala ya Eid iliyofanyika katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam. Swala hiyo iliongozwa na Sheikh Ally Muhiyidiin Mkologole Juni 17, 2024 jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza akizungumza  na waumini wa dini ya kiislam wakati wa baraza…

Read More

PLANET 67 KASINO USHINDI BILA KIKOMO

MFUMOWA jua una sayari 9, lakini wanasayansi wanasema kuna Zaidi ya sayari zimeonekana na uchunguzi unaendelea, Meridianbet nakupeleka hadi nje ya dunia, safari ya kasino itakupeleka mpaka sayari ya kufikirika ya Planet 67 kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Planet 67 ni mchezo wa bingo wa kasino ya mtandaoni wenye nambari 90 ambapo wachezaji wanaweza kucheza…

Read More

Yanga yamficha winga mpya Avic

YANGA bado inapiga hesabu za kusajili winga wa maana na mezani kwao kuna mawinga wawili akiwemo Philipe Kunzumbi na Basiala Agee, lakini mmoja kati ya hao wawili akawahishwa kambi ya klabu hiyo ya Jangwani iliyopo Avic Town fasta akiwekewa mtego wa maana. Yanga ilimfungia safari Agee baada ya Rais wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said…

Read More

LEO UINGEREZA, UHOLANZI ZOTE KUKUPA PESA

SIKU ya leo EURO 2024 kupigwa katika viwanja mbalimbali, na tayari Meridianbet wameshakuwekea machaguo yote ambayo unayataka. Ingia Meridianbet sasa na usuke jamvi lako hapa. Mechi ya mapema leo hii ni hii ya Kundi D ambapo Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii…

Read More

Simba yamgeukia kiungo Mzambia | Mwanaspoti

BAADA ya kumalizana na winga Joshua Mutale (22), mabosi wa Simba wamedaiwa hawajamaliza kazi huko Zambia baada ya kuhamia kwa kiungo mkabaji wa Zesco United, Kelivin Kapumbu (28) kwa nia ya kumvuta Msimbazi kukiwasha kwa msimu ujao wa mashindano ya ndani na yale ya kimataifa. Hata hivyo, taarifa hizo kutoka ndani ya Simba zinasema kuwa…

Read More

JIWE LA SIKU: Ukishangaa ya Simba utayaona ya Tshabalala

SIMBA kwa sasa ipo kwenye presha. Moja haikai, mbili haikai lakini kazi inaendelea. Ni kipindi ambacho kila kitu ndani ya klabu hakina jibu la kueleweka kuanzia kwenye uongozi wa juu kabisa wa bodi, benchi la ufundi, wachezaji hadi wanachama na mashabiki. Ni kipindi cha mpito. Pamoja na mambo yote yanayoendelea, kikubwa zaidi wanachotaka kujua mashabiki…

Read More

Abdallah Shaibu ‘Ninja’ agoma kurudi DR Congo

JAPOKUWA dirisha la usajili halijafunguliwa rasmi, lakini timu zinaendelea kuimarisha vikosi vyao kwa ajili ya msimu ujao, hivyo haitakuwa ajabu kusikia mchezaji anatoka sehemu moja kwenda nyingine. Hivi karibuni, Mwanaspoti limefanya mahojiano na beki Abdallah Shaibu ‘Ninja’, baada ya kuvunja mkataba na iliyokuwa klabu yake ya Lubumbashi Sport ya DR Congo na huenda msimu ujao…

Read More