Tanzania vitani mbio za magari ubingwa Afrika

MADEREVA wa Tanzania, Yassin Nasser na Prince Charles Nyerere wanaingia vitani leo mjini Mbarara ambako raundi ya pili ya mashindano ya mbio za magari ubingwa wa Afrika yanaanza kwa mbio za mchujo. Watanzania  wanachuana na madereva wengine 51 kutoka nchi za Kenya, Rwanda, Ethiopia na wenyeji Uganda katika mashindano ambayo yanachezwa kwa mara ya kwanza…

Read More

Tanzania, Cameroon patachimbika Morocco | Mwanaspoti

TIMU ya taifa ya wanawake ya Futsal, leo Jumatatu itashuka Uwanja wa Sportif Prince Moulay Abdallah, huko Morocco kukipiga dhidi ya Cameroon katika mchezo wa nusu fainali ya mashindano ya mchezo huo kuwania Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake. Tanzania ilitinga nusu fainali kwa kumaliza kinara wa Kundi C baada ya mechi mbili kuvuna…

Read More