
Mafuru afariki dunia, Rais Samia aomboleza
Dar es Salaam. Aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru amefariki dunia leo Jumamosi Novemba 9, 2024 katika Hospitali ya Apollo nchini India. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameomboleza kifo cha mafuru akitoa pole kwa familia na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji). “Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo…