Mjumbe wa Mashariki ya Kati aonya dhidi ya kuongezeka, mambo muhimu kuendelea kwa shughuli ya makazi ya Israeli – Masuala ya Ulimwenguni

“Msururu wa milipuko kote Lebanon na maroketi yaliyorushwa kuelekea Israeli katika siku za hivi karibuni huongeza kwa tete,” alisema Tor Wennesland, Mratibu Maalum wa Mchakato wa Amani ya Mashariki ya Kati. Alizitaka pande zote “kufanya kujiepusha na hatua ambazo zitazidisha hali hiyo na kuchukua hatua za haraka za kupunguza hali hiyo.” Shughuli ya usuluhishi inaendelea…

Read More

Haji Mnoga akipiga dakika 58 dhidi ya Man City

LICHA ya chama la beki Mtanzania, Haji Mnoga wa Salford City ya Uingereza kupokea kichapo cha mabao 8-0 dhidi ya Manchester City, nyota huyo alianza na kukipiga kwa dakika 58. Salford juzi ilikuwa kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester kuvaana na Man City katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA. Beki huyo…

Read More

Uhamisho wa Kulazimishwa Huwaacha Wanawake wa Afghanistan katika Umaskini Mkubwa – Masuala ya Ulimwenguni

Pakistan na Iran zinaendelea kuwafukuza wakimbizi wa Afghanistan hadi katika nchi yao ya asili, na kuwaacha wanaorejea katika hali mbaya. Credit: Learning Together. Jumanne, Julai 09, 2024 Inter Press Service Julai 09 (IPS) – Mwandishi ni mwandishi wa habari wa kike mwenye makazi yake Afghanistan, aliyepata mafunzo kwa usaidizi wa Kifini kabla ya Taliban kuchukua…

Read More

WASIRA AKUTANA NA KADINALI PROTASE RUGAMBWA TABORA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani…

Read More

Kasongo aanika ukweli ishu ya Mnguto Bodi ya Ligi

OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amevunja ukimya na kutoa ufafanuzi juu ya nafasi ya mwenyekiti wa bodi hiyo, Steven Mguto ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Coastal Union. Mguto kwa sasa sio miongoni mwa wagombea 17 waliojitokeza kuwania nafasi katika uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ya Coastal kwa vikle hakugombea…

Read More

CHADEMA yamjibu Lissu, makada wake kuhusu madai ya rushwa – DW – 15.11.2024

Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa Alhamisi jioni, CHADEMA imesema haijawahi kuletewa hoja ya kugawana majimbo au nafasi za madaraka kutoka kwa serikali. Ama kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya rasIlimali fedha na rushwa ndani ya chama, CHADEMA imesema inamwalika mtu yeyote mwenye ushahidi au vielelezo vinavyotosheleza, kuwezesha kuchukua hatua za kinidhamu Taarifa hii inatolewa wakati Makamu Mwenyekiti…

Read More