
TPA watoa ufafanuzi gawio la Bilioni 153.9 kwa Serikali
Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa ufafanuzi kuhusu uhalisia wa Gawio la Shilingi Bilioni 153.9 lililotolewa na Mamlaka hiyo kwa Serikali kwa mujibu wa Sheria kwa mwaka 2024 kufuatia taarifa potofu zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii. Pascal Mwakyoma TZA June 16, 2024