
INEC yapuliza kipyenga kingine uandikishaji wapigakura
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele ametangaza ngwe ya pili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la mpigakura litakaloanza Mei 1 na kutamatika Julai 4, 2025. Mchakato huo umefunguliwa baada ya kukamilika mzunguko wa kwanza, ulioanza Julai 20,2024 hadi Machi 25,2025 ikiwa ni utekelezaji…