
Tangulia Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda
TAIFA liko msibani. Usiku wa juzi Ijumaa, saa 3:00 usiku alifariki dunia mmoja wa Watanzania walioweka alama ya pekee katika historia ya taifa letu, Balozi Chifu Ferdinand Kamuntu Ruhinda (1938-39). Balozi Ruhinda anayetoka katika familia ya uchifu ni Mwandishi wa Habari kitaaluma na mwanadiplomasia. Alipata elimu yake ya uandishi wa habari katika Chuo Kikuu cha…